Matija Nastasić {amezaliwa 28 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa Serbia, ambaye anacheza katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani.

Matija Nastasić

Kazi ya klabu hariri

Schalke 04 hariri

Tarehe 13 Januari 2015 alisajiliwa kwa mkopo katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matija Nastasić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.