Matsue (松江市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Shimane. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 190 000 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Matsue








Matsue
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Chūgoku
Mkoa Shimane
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 194,413
Tovuti:  www.city.matsue.shimane.jp

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Matsue, Shimane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons