Matt Lang
Matt Lang ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo wa muziki wa country kutoka Kanada. Ametoa albamu tatu: More, Moonlight Sessions, na All Night Longer, pamoja na nyimbo kadhaa, zikiwemo Getcha na Only a Woman.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "More - Matt Lang". AllMusic. Iliwekwa mnamo Septemba 10, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Giliforte, Brittany (Januari 24, 2020). "Matt Lang shows Québec's take on country music". The Queen's Journal.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Karkera, Sharanya (Januari 28, 2020). "Matt Lang: Canada's next country star". UW Imprint.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Matt Lang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |