Matt Murphy
Matt Murphy ni mwanamuziki wa Kanada na mchezaji wa filamu. Anajulikana zaidi kama mwimbaji na mpiga gitaa wa bendi ya miaka ya 1990 The Super Friendz.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "City on fire: Matt Murphy returns with new band, film". NOW Toronto, by Tim Perlich, January 13, 2005
- ↑ "Brendan Canning on Cookie Duster and Life After BSS: 'I Wanted a Fresh Perspective'" Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2018 kwenye Wayback Machine.. Spinner, June 26, 2012.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Matt Murphy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |