Matteo Bianchi (alizaliwa 21 Oktoba 2001) ni mwendesha[1] baiskeli wa Italia ambaye alishinda medali ya fedha katika Mashindano ya Ulaya ya mwaka 2022.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Matteo Bianchi profile". federciclismo.it. Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "CYCLING TRACK - SCHEDULE AND RESULTS". munich2022.com. Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matteo Bianchi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.