Maunzilaini
sehemu isiyoonekana ya kuchakatwa ya kompyuta
Maunzilaini (pia: maunzi laini[1], kwa Kiingereza software) ni jumla ya programu na data zinazodhibiti utendaji wa kazi ya kompyuta. Ni tofauti na mashine ya kompyuta yenyewe inayotajwa kama maunzingumu au hardware.
Kujenga programu Edit
Katika mfumo wa programu, programu ni data ambayo hutumiwa na processor kama maelekezo ya kudhibiti mfumo wa kompyuta.[2]
Marejeo Edit
- ↑ Maunzi laini au maunzilaini ni pendekezo la Kamusi ya KSK; Orodha za Microsoft na Kilinux hutumia "programu", linganisha orodha ya klnX IT Extended Glossary May 2009
- ↑ Kutengeneza programu na aina zake.
- Kiputuputi, Omari (2011). Kamusi Sanifu ya Kompyuta, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Toleo la Kwanza 2011, ISBN 978 9987 531 127