Maureen Jelagat Maiyo
Maureen Jelagat Maiyo (alizaliwa Kapsowar, 28 Mei 1985) ni mwanariadha wa Kenya ambaye alibobea katika mbio za mita 400 na mita 400 kuruka viunzi.[1]Aliwakilisha nchi yake katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2012 na vile vile Mashindano ya Dunia mwaka 2013 na 2015.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maureen Jelagat Maiyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |