Maureen Solomon
Maureen Solomon (alizaliwa 1983) ni muigizaji kutoka Nigeria ambaye alishiriki katika filamu za Kinaigeria zaidi ya 80[1][2][3]
Maisha ya awali na Elimu
haririSolomon alizaliwa katika mji wa Abia, Nigeria mjini Isuochi ambapo alipata elimu yake ya awali na sekondari, na kupata vyeti vyake vya kuhitimu shule ya msingi na sekondari katika shule ya Isuochi Primary and Secondary school iliyopo mji wa Abia.
Kazi
haririSolomon aliitwa kwenye usaili ambapo alianza kuigiza jukwaani wakati akiwa shule ya msingi na alikua na matamanio ya kuwa muigizaji bora kwa baadae. Solomon alianza kazi yake ya kuigiza katika filamu za kinaigeria akiwa na miaka 17 [4] katika filamu iitwayo Alternative ambayo iliongozwa na Lancelot Oduwa Imasuen . Solomon alipokea ujumbe katika siku ilifuata wakimuitaji ashiriki katika filamu ambapo alilipwa ₦2000 kwa ($20, per 2001 exchange rate) [5][6] Solomon aliacha kuigiza filamu za kinaigeria mnamo mwaka 2011 .[7]
Maisha yake binafsi
haririSolomon katika mwaka 2005 aliolewa na Bwana Okereke, aliekuwa daktari na wamebahatika kupata watoto wawili wakiwa pamoja. [5][8][9].
Marejeo
hariri- ↑ "Maureen Solomon". IMDb. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
- ↑ "Nollywood actress Maureen Solomon is pregnant after 12 years, flaunts baby bump". www.msn.com. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
- ↑ Okundia, Jennifer (2019-04-09). "Maureen Solomon welcomes 2nd child after 12 years". P.M. News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
- ↑ Owolawi, Taiwo (2018-11-14). "6 things to know about Nollywood actress Maureen Solomon". www.legit.ng (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-07. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ 5.0 5.1 RITA (2019-04-09). "After almost 12 years, actress Maureen Solomon welcomes another child". Vanguard Allure (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
- ↑ "6 things to know about Nollywood actress Maureen Solomon". Within Nigeria (kwa American English). 2018-11-14. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
- ↑ "In Search Of These Acting Celebrities". guardian.ng (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-07. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
- ↑ Rapheal (2018-04-21). "Why I stopped acting for 7 years –Maureen Solomon, actress". The Sun Nigeria (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-12-07.
- ↑ "Actress, Maureen Solomon Shows off Aged Mother with Great Swag". Nigerian Voice. Iliwekwa mnamo 2019-12-07.