Maurice A. FitzGerald

Maurice A. FitzGerald (9 Januari 189725 Agosti 1951) alikuwa mwanasiasa wa Marekani kutoka Queens mji wa New York.

Maurice A. FitzGerald

Rais wa Jimbo la Queens, New York
Muda wa Utawala
1950 – 1951
mtangulizi James A. Burke
aliyemfuata Joseph F. Mafera

tarehe ya kuzaliwa (1897-01-09)Januari 9, 1897
Brooklyn, New York
tarehe ya kufa 25 Agosti 1951 (umri 54)
Star Lake, New York,

Maisha hariri

FitzGerald alizaliwa Brooklyn, New York mwaka wa 1897. Kufikia umri wa miaka 14 alianza kufanya kazi kama karani wa posta.[1]

Marejeo hariri

  1. "Maurice A. FitzGerald Playground". New York City Department of Parks and Recreation. Iliwekwa mnamo December 2, 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maurice A. FitzGerald kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.