Mavinga ni mji uliopo kusini mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Cuando Cubango.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 4,442[1].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mavinga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.