Max Karl Ernst Ludwig Planck (23 Aprili 18584 Oktoba 1947) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kubuni nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1918 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Max Planck
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Planck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.