Mayor McCa (alizaliwa kama Christian Anderson Smith) ni mwanamuziki, mwandishi, mchoraji katuni, mhuishaji, mwigizaji, na aliyewahi kuwa mgombea wa umeya kutoka Hamilton, Ontario, Kanada.[1][2]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mayor McCA kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.