Ontario
Ontario ni jimbo (province) la Kanada upande ya Ghuba ya Hudson. Ina eneo la 1,076,395 km². Kuna wakazi milioni kumi na tatu (13,425,124). Ni jimbo kubwa wa pili katika Kanada baada ya Quebec.

Ontario

Bendera
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Toronto
Eneo
 - Jumla 1,076,395 km²
Tovuti:  http://www.ontario.ca/

Mji mkuu ni Toronto ambayo pia ni mji mkubwa wa Kanada.

Imepakana na Quebec, New York, Michigan na Manitoba. Upande wa kusini kuna Ziwa Superior, Ziwa Huron, Ziwa Erie na Ziwa Ontario.

Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1867.

Gavana wa jimbo ni Elizabeth Dowdeswell.

Lugha rasmi ni Kiingereza (de facto).

Miji MikubwaEdit

  1. Toronto (5,813,149)
  2. Ottawa (1,130,761)
  3. Hamilton (692,911)
  4. London (352,395)
  5. Kitchener (451,235)

Viungo vya NjeEdit


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ontario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.