Mayuge ni mji mkuu wa Wilaya ya Mayuge nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 10,700.

Ramani ya mayuge,Uganda
Watoto wakiwa na wadau wa afya Mayuge,Uganda


Mayuge
Mayuge is located in Uganda
Mayuge
Mayuge

Mahali pa mji wa Mayuge katika Uganda

Majiranukta: 0°20′0″N 33°32′0″E / 0.33333°N 33.53333°E / 0.33333; 33.53333
Nchi Uganda
Mkoa Mashariki
Wilaya Mayuge
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 10,700

Tazama pia hariri


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: