0°10′50″S 37°18′54″E / 0.18048°S 37.31491°E / -0.18048; 37.31491

Maziwa Carr ni maziwa madogo ya Kenya (kaunti ya Tharaka-Nithi)[1]. Yanapatikana kwenye mtelemko upande wa kusini-mashariki mwa Mlima Kenya.

Tazama pia

hariri

Orodha ya maziwa ya Kenya

Tanbihi

hariri
  1. www.getamap.net