Mbolea za chumvichumvi
Mbolea za chumvichumvi ni kemikali zilizoandaliwa kama virutubisho ambavyo huhitajika katika ukuaji wa mmea.
Virutubisho vikuu vitatu ni: naitrojeni (N), fosforasi (P), potasiamu (K) ambavyo kwa ujumla hutengeneza mbolea. Mmea wowote hutumia virutubisho hivyo.
Kazi ya naitrogeni ni kukuza mmea na kushamiri vizuri na kutoa suke pana; kazi ya fosfati ni kutengeneza rangi ya kijani (chanikiwiti) na kutengeneza shia na virutubisho vya mmea; kazi ya potashi ni kufanya mmea kukua kwa kasi na kustawi.
Aina za mbolea ni
N.P.K. (17:17:17) N.P.K. ni ufupisho wa maneno yafuatayo: N-naitrojeni, P-fosfati na K-potashi.
C.A.N. (27:0:0)
D.A.P. (18:46:0)
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbolea za chumvichumvi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |