Mbuga ya Taifa ya Mountain Zebra

Mbuga ya Taifa ya Mountain Zebra ni mbuga ya kitaifa katika jimbo la Eastern Cape ya Afrika Kusini iliyoanzishwa mnamo Julai 1937 kwa madhumuni ya kutoa hifadhi ya asili kwa pundamilia wa mlima wa Cape walio hatarini kutoweka.

Picha ya wanyama wanaopatikana katika Mbuga ya Mountain Zebra
Picha ya wanyama wanaopatikana katika Mbuga ya Mountain Zebra

Historia hariri

Mapema mwa miaka ya 1930, pundamilia wa mlima wa Cape walitishiwa kutoweka . Bodi ya Wadhamini wa Hifadhi za Taifa ilitangaza km 17.12 ni kwa ajili ya eneo la uhifadhi wa pundamilia mnamo 1938 baada ya ununuzi wa shamba la Babylons Toren, Cradock mwaka mmoja kabla. [1]

Marejeo hariri

  1. South African Panorama 1977-08: Vol 22 Iss 8 (kwa English). Internet Archive. Information Service of South Africa. August 1977.  Check date values in: |date= (help)