Mbungo
(Saba spp.)
Maua ya mbungo wa kawaida (Saba comorensis)
Maua ya mbungo wa kawaida (Saba comorensis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Gentianales (Mimea kama mbuni)
Familia: Apocynaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mdiga)
Jenasi: Saba
(Pichon) Pichon
Ngazi za chini

Spishi 3

Mibungo ni aina za vichaka au mimea mbaachi inayopanda juu ya miti. Ina mafundo ya maua meupe na matunda ya ukubwa wa machungwa yanayoitwa mabungo. Maji yao ni machungu sana lakini yana vitamini C nyingi.

Spishi hariri

Picha hariri