Mbuni FC Arusha
Timu ya soka ya Mbuni, pia inajulikana kama Mbuni FC, ni klabu ya soka yenye makao yake mjini Arusha, Tanzania. Klabu hiyo kwa sasa inashiriki Ligi daraja la kwanza. [1]
Historia
haririMbuni FC, pia inajulikana kama The Black, ni klabu ya soka yenye maskani yake Monduli, mojawapo ya wilaya saba za Arusha . Ilianzishwa mwaka 1982 kama timu ya jeshi. [2] [3]
Rangi na beji
haririRangi za Mbuni FC ni nyekundu na bluu. Beji ya Mbuni FC ina mpira wa miguu, mbuni na manyoya Yaliyounda herufi ' U' ya Mbuni na tarehe ya kuanzishwa.
Uwanja
haririMbuni FC wanacheza mechi zao za nyumbani kwenye Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Shekhe Amri Abeid wakitokea kambi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania iliyopo Monduli. [4]
Wafuasi
haririMbali na Monduli, Mbuni FC inapata mashabiki wake kutoka Kaloleni, kata ya utawala katika Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha, Tanzania.
Heshima
haririMshindi wa Ligi ya Kwanza 2021
Marejeo
hariri- ↑ Tanzania, Championship. "Championship". tzchampionship.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-04. Iliwekwa mnamo 2022-09-17.
- ↑ "Mbuni FC". www.tzchampionship.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-04. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Mbuni, FC. "BUNI, COPCO ZAPANDA CHAMPIONSHIP LEAGUE". binzubeiry.co.tz. Iliwekwa mnamo 22 Aprili 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Monduli, Arusha FC. "MONDULI'S MBUNI FC SAIL CLOSE TO FDL PROMOTION". africa-press.net. Africa Press. Iliwekwa mnamo 25 Juni 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)