Mbwa Mchungaji wa Kijerumani wa Zamani

Mbwa Mchungaji wa Kijerumani wa Zamani (Kijerumani: Altdeutscher Schäferhund) ni jina lililotumiwa kuashiria mbwa wasiozaa wachungaji wanaotumika nchini Ujerumani baada ya uzunduzi wa Mbwa wa Mchungaji wa Kijerumani na Max von Stephanitz mwaka wa 1899. Tamko hili sasa linatumika kuashiria mbwa ambao wana uhusiano wa damu na mbwa hawa lakini huzalishwa kwa ajili ya kiwango cha kazi na si kiwango rasmi;Mbwa huyu hatambuliki hii haitambuliki na FCI lakini ana kiwango chake mwenyewe. [1]

Mbwa Mchungaji wa Kijerumani wa Zamani
Other names Altdeutscher Schäferhund
Country of origin Germany
Traits
Mbwa (Canis lupus familiaris)

Historia

hariri

Nchini Ujerumani, kabla ya miaka ya 1890, mbwa yeyote alichunga kondoo alijulikana kama "Mbwa Mchungai wa Kijerumani", kabla ya uumbaji wa mbwa anejulikana sasa. Mbwa walizalishwa kwa ajili ya uwezo wao wa kazi kwani mbwa wenye uwezo maalumu walizalishwa pamoja, bila jitihada ya kuwa na sura moja, kuondoa kasoro za maumbile au kuunda aina ya mbwa thabiti; tu kuboresha ulindaji wa mifugo. [2] Katika mwaka wa 1899 Horand von Grafrath ilitangazwa kuwa mbwa wa kwanza Mchungaji rasmi wa Kijerumani, na kusajiliwa na Jamii ya Mbwa Mchungaji wa Kijerumani . [3] Horand alizaa na mbwa wengine wa kawaida ambao walionyesha sifa nzuri, lakini pia kwamba walikuwa huru ya kasoro za maumbile na walikuwa na sura sawa. [3] Mbwa waliokuwa wa mbegu hii walijulikana kama "Mbwa Wachungaji wa Kijerumani " jina Altdeutscher Schäferhund Mbwa Wachungaji wa Kijerumani wa Zamani lilipewa mbwa hawa wa kazi kwa muda ambnao hakukuwa na mbegu dhabiti. [4] Horand mwenyewe alikuwa Mchungaji wa Zamani (kwani mbegu ya Mchungaji wa Kijermani haikuwepo kabla yake) na kuzaa pamoja na mbwa waliojulikana kama Wachungaji wa zamani .Ni kutoka mbwa hawa kwamba mbwa wa kisasa wa hawa mbwa wa Mchungaji wa Kijerumani alitoka Licha ya jitihada kuja na mbegu moja, wengi wafugaji wajerumani waliendelea kuzalisha mbwa wao kwa uwezo huo, kama iliviyofanyika hapo awali, na hivyo kuendeleza mfumo usio dhabiti wa Mbwa Mchungaji wa Kijerumani, ambao ulitofautiana na mfumo uliokubalika na jamii ya Mbwa Mchungaji wa Kijerumani. [5] [6]

Mbegu ya Kisasa

hariri

Mbegu ya kisasa ina mbwa ambao asili yao ni kabla ya harakati za kuwa na mbegu moja. Usawa wa mbegu hii inahitaji mbwa kuwa na uwezo wa kulinda kondoo na ng'ombe. Ndozi inaweza kuwa yeyote inaweza kuwa refu, laini au imesimama. Wanaweza kuwa weusi, kahawia, buluu au tan. Masikio lazima aidha yamenawiri au yamenawiri kiasi. [5] Mwaka wa 2008, shirika la Kijerumani la Uhifadhi jamii za Kale na Mifugo ambayo iko hatarini (GEH) lilisema kuwa mbegu hii iko hatarini ya kuisha. [7]

 
An Old Mchungaji Dog na weusi wengi kanzu.

Wakati wa uumbaji wake Mbwa Mchungaji wa Kijerumani wa kisasa alizalishwa ili kuwa na nguvu na uwezo wa kufanya kazi na sura moja sawa. Mbwa Mchungaji wa Kijerumani alizalishwa kwa ajili ya uwezo wa kufanya kazi na hivyo sura yake ni tofauti na mbwa wengi lakini sawa na Mbwa Mchungaji wa kisasa wa Kijerumani ambaye ana nywele ndefu lakini na rangi tofauti. Kiwango hiki kinaruhusu ngozi yoyote na miguso mbalimbali. [5] Mwa huyu ana ukubwa sawa na mbwa wa kawaida wa mbwa mchungaji wa Kijerumani; sentimetre 55 na 65 (in 22 na 26) anapokomaa huwakilogram 22 na 40 (lb 49 na 88) lakini ni anajulikana wamekuwa wakubwa. [6]

Tanbihi

hariri
  1. "Top-10-Fragen" (kwa German). AAH. Iliwekwa mnamo 2008-10-16.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "A Profile of the German Shepherd Dog". Just Shepherds. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-19. Iliwekwa mnamo 2008-10-08.
  3. 3.0 3.1 "History of the Breed". German Shepherds.com. Iliwekwa mnamo 2008-07-15.
  4. von Stephanitz, Max (1994). The German Shepherd Dog in Word and Picture. Hoflin Publishing Ltd. uk. 12. ISBN 9789993280057. {{cite book}}: Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help)
  5. 5.0 5.1 5.2 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named herding
  6. 6.0 6.1 Willis, Malcolm. The German Shepherd Dog: A Genetic History. Maxwell Macmillan International. ISBN 0876051751. {{cite book}}: Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help)
  7. "Westerwälder Kuhhund" (kwa German). German Society for the preservation of old and endangered breeds Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-03. Iliwekwa mnamo 2008-10-08.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbwa Mchungaji wa Kijerumani wa Zamani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.