Melanie Behringer
Melanie Behringer (alizaliwa 18 Novemba 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ujerumani ambaye alicheza kama kiungo wa Bayern Munich. Melanie aliwahi kuwa mchezaji bora wa kike wa FIFA.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Nationalspielerin Melanie Behringer" (kwa Kijerumani). DFB.de. Iliwekwa mnamo 18 Juni 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Melanie Behringer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |