Melissa Panarello (amezaliwa Catania, 3 Desemba 1985) ni mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Italia.[1]

Panarello mwaka 2011.

Vitabu

hariri
  • 2003: 100 colpi di spazzola prima di andare a dormire
  • 2005: L'odore del tuo respiro
  • 2010: Tre
  • 2013: La Bugiarda

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melissa Panarello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.