Melissa Ponzio (alizaliwa Agosti 3, 1972) ni mwigizaji wa Marekani, anajulikana kwa kazi yake kama Melissa McCall katika Teen Wolf na Karen katika Walking Dead.

 Melissa Ponzio
Melissa Ponzio

Hivi karibuni, Ponzio ameonekana katika Chicago Fire kama Donna Robbins.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melissa Ponzio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.