3 Agosti
tarehe
(Elekezwa kutoka Agosti 3)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Agosti ni siku ya 215 ya mwaka (ya 216 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 150.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1871 - Vernon Louis Parrington, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1934 - Jonas Savimbi, mwanasiasa wa Angola
- 1943 - Steven Millhauser, mwandishi kutoka Marekani
- 1946 - Felix Christopher Mrema, mwanasiasa wa Tanzania
- 1958 - Peter Eriksson, mwanasiasa kutoka Uswidi
- 1959 - Koichi Tanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 1961 - Barnabas Kinyor, mwanariadha kutoka Kenya
- 1964 - Lucky Dube, mwanamuziki wa Afrika Kusini
- 1977 - Tom Brady
Waliofariki
hariri- 1942 - Richard Willstatter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1915
- 2008 - Aleksandr Solzhenitsyn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1970
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Aspreno wa Napoli, Eufroni wa Autun, Martino wa Mondragone, Petro wa Anagni n.k.
Viungo vya nje
hariri
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |