Malatya
(Elekezwa kutoka Melitene)
Malatya (Kihiti: Melid; Kigiriki: Μαλάτεια, Malateia; Kiarmenia: Մալաթիա, Malatia; Kikurdi: Meletî [1], Kilatini: Melitene) ni mji mkuu wa Jimbo la Malatya huko mkoa Mashariki mwa Anatolia nchini Uturuki.
Malatya | |
Nchi | Uturuki |
---|---|
Mkoa | Anatolia ya Mashariki |
Jimbo | Malatya |
Idadi ya wakazi (2000) | |
- Wakazi kwa ujumla | 381,081 |
Tovuti: www.malatya.gov.tr |
Takriban watu 381,081 wanaoishi huko (sensa ya 2000). Mji upo mita 954 juu ya usawa wa bahari.
Marejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Arslantepe Ilihifadhiwa 5 Machi 2006 kwenye Wayback Machine. University of Rome's English and Italian webpages on the excavations
- Malatya Ilihifadhiwa 28 Machi 2022 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Malatya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |