Melvine Marie Ericka Malard (alizaliwa 28 Juni 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa,ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Ufaransa.[2]

Malard akiwa na Lyon mnamo 2019

Marejeo hariri

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-26. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  2. "Melvine Malard, la Bleuette prête à éclore". L'Équipe (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melvine Malard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.