Memo ni aina ya maandishi inayotumika kupitishia ujumbe katika taasisi fulani.

Lengo kuu la memo ni kupitisha ujumbe rasmi miongoni mwa wafanyakazi wa kitengo kimoja.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Memo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.