Merrie Melodies
mfululizo wa katuni za marekani zilizotengenezwa n Warner Bros.Mwaka 1931 na 1969.
Merrie Melodies ni jina la kutaja aina ya mfululizo wa vikatuni vilivyokuwa vinasambazwa na Warner Bros. Pictures kati ya mwaka 1931 na 1969. Hapo awali mfululizo huo wa vikatuni ulikuwa unataarishwa na Leon Schlesinger Productions mpaka mwaka 1944, ambapo Schlesinger aliuza studio kwa Warners. Mnunuzi mpya alibadilisha jina na kuita Warner Bros. Cartoons, Inc. Waliendelea kutayarisha mifululizo mingine ya vikatuni hadi mnamo mwaka 1969.
Ona pia
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Merrie Melodies kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Merrie Melodies