Mersin ni jiji na bandari yenye kazi nyingi ya nchini Uturuki. Jiji lipo katika pwani ya mjini kusini mwa Mediteranea. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mersin. Takriban watu 2,275,216 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 100 juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Mersin


Mersin
Nchi Flag of Turkey.svg Uturuki
Mkoa Mediterenea
Jimbo Mersin
Idadi ya wakazi (2007)
 - Wakazi kwa ujumla 2,275,216
Tovuti:  Mersin

MarejeoEdit

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mersin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.