Kisiwa cha Mfangano
(Elekezwa kutoka Mfangano Iskand)
Kisiwa cha Mfangano ni kati ya visiwa vya kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.
Kinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.
Ni kata ya Eneo bunge la Mbita[1].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Mfangano kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |