Mfumojalada

Katika utarakilishi, mfumojalada (kwa Kiingereza : "filesystem") unadhibiti vilevile majalada ambayo yanatunzwa na yanapatwa katika tarakilishi. Kwa mfano, makabrasha ndani ya tarakilishi ni mfumojalada.

Mchoro wa mifumojalada mitano.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.