Mgana Izumbe Msindai

Mgana Izumbe Msindai (amezaliwa 28 Novemba, 1948) ni mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Mgana Izumbe Msindai". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.