Mhobiti, au kwa uwingi wahobiti, ni aina mmoja ya mbari za bunilizi ya kinjozi katika vitabu vya J.R.R. Tolkien. Maarufu hasa ni Bilbo Baggins, shujaa katika Mhobiti, na mpwa wake, Frodo Baggins, shujaa katika Bwana wa Mapete. Kwa lugha za watu, wahobiti pia huitwa wananusu.