Michael Kelly (Mjesuiti)
Michael J. Kelly (19 Mei 1929 – 15 Januari 2021) alikuwa padre wa Shirika la Yesu kutoka Ireland na mhubiri nchini Zambia.
Anajulikana kwa kazi yake ya kielimu kuhusiana na janga la HIV-UKIMWI.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "The Covid-19 Poverty Tsunami". Jesuit Centre for Faith and Justice in Ireland. 24 Aprili 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Tribute to Michael J. Kelly SJ". www.jesuitmissions.ie. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-19. Iliwekwa mnamo 2024-11-17.
- ↑ Kelly, Michael J.; Bain, Brendan (18 Julai 2005). Education and HIV/AIDS in the Caribbean. Ian Randle Publishers. ISBN 9789766371807 – kutoka Google Books.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |