Michaella Rugwizangoga

Michaella Rugwizangoga ni mhandisi wa Rwanda mzoefu wa kupanga mikakati, usimamizi wa miradi na ukuzaji wa bidhaa. Kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Volkswagen Mobility Solutions Rwanda, na Mtendaji wa kwanza mwanamke Mwafrika ndani ya kundi hilo. [1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michaella Rugwizangoga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.