Michele Norris

Muandishi wa Radio wa Marekani

Michele L. Norris (alizaliwa Minnesota, Septemba 7, 1961) ni mwandishi wa habari wa Marekani ambaye kwa sasa anafanya kazi katika jarida la The Washington Post.[1]

Michele Norris.
Norris, pamoja na Chuck Holmes, Melissa Bear, Adrian Kinloch, na Walter Ray Watson, wakikubali Tuzo ya Peabody kwasababu ya "The Race Card Project."
Norris, pamoja na Chuck Holmes, Melissa Bear, Adrian Kinloch, na Walter Ray Watson, wakikubali Tuzo ya Peabody kwasababu ya "The Race Card Project."

Tangu mwaka 2002 hadi 2011, alikuwa akitangaza kipindi cha jioni katika [[redio]] ya Nationala Public Radio kipindi kinachoitwa All Things Considered.[2]

Norris pia ni mwanachama wa bodi ya wakurugenzi ya Peabody Award [3] wakiwakilisha chuo kikuu cha Georgia.

Maisha ya awali

hariri

Norris, mama yake akiwa Betty na baba yake Belvin Norris Jr. Baba yake alikuwa muhudumu katika meli ya kivita wakati wa vita kuu ya pili ya dunia [4] Michele alisoma katika shule ya Washburn High School katika mji wa Minneapolis, na baadaye alijiunga na chuo kikuu cha University of Wisconsin–Madison, ambapo alijifunza utaalamu wa umeme kabla ya kuhamia katika chuo cha Minnesota alikojifunza taaluma ya uandishi wa habari na mawasiliano.

Marejeo

hariri
  1. https://www.washingtonpost.com/pr/2019/12/03/michele-norris-joins-post-opinions-contributor-consultant/
  2. "Michele Norris Biography". The HistoryMakers. 2008-05-02. Iliwekwa mnamo 2018-04-25.
  3. "Who We Are". Grady College and University of Georgia. Iliwekwa mnamo Novemba 22, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. ""The Grace of Silence," a memoir by Michele Norris", The Washington Post, 19 September 2010. 
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michele Norris kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.