Kizu
(Elekezwa kutoka Micronisus)
Kizu | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 4:
|
Vizu ni ndege mbuai wa jenasi Melierax, jenasi pekee ya nusufamilia Melieraxinae katika familia Accipitridae. Mgongo na mabawa yao ina rangi ya kijivu na tumbo lao ni mweupe na milia kijivu. Spishi zote zinatokea Afrika kusini kwa jangwa la Sahara. Zinapenda mahali pakavu kwenye miti. Hujenga tago lao kwa vijiti juu ya mti na hutaga mayai mawili au matatu, pengine yai moja. Wakati wa majira ya kuzaa huimba kwa milio ya mluzi. Hukamata wanyama na ndege wadogo na wadudu wakubwa.
Spishi
hariri- Melierax canorus, Kizu Kusi (Pale Chanting Goshawk)
- Melierax c. argentior, Kizu Kusi-Magharibi (Southwest African Chanting Goshawk)
- Melierax c. canorus, Kizu wa Afrika Kusini (South African Chanting Goshawk)
- Melierax gabar au Micronisus gabar, Kizu Miguu-myekundu (Gabar Goshawk)
- Melierax g. aequatorius, Kizu Miguu-myekundu ya Kati (Central Gabar Goshawk)
- Melierax g. gabar, Kizu Miguu-myekundu Kisu (Southern Gabar Goshawk)
- Melierax g. niger, Kizu Miguu-myekundu Kaskazi (Northern Gabar Goshawk)
- Melierax metabates, Kizu Domo-jekundu (Dark Chanting Goshawk)
- Melierax m. mechowi, Kizu Domo-jekundu Kusi (Southern Dark Chanting Goshawk)
- Melierax m. metabates, Kizu Domo-jekundu Kaskazi (Northern Dark Chanting Goshawk)
- Melierax m. theresae, Kizu wa Maroko (Moroccan Chanting Goshawk)
- Melierax poliopterus Kizu Domo-njano (Eastern Chanting Goshawk)
Picha
hariri-
Kizu kusi
-
Kizu miguu-myekundu
-
Kizu domo-jekundu