Miho Kamogawa (alizaliwa 27 Agosti 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya JEF United Chiba inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Miho alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 20 Septemba 2021.[1][2]

Marejeo hariri

  1. "Miho Kamogawa". 
  2. "Scoresheet". weleague.jp. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miho Kamogawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.