Mikasa Sports
Mikasa Sports ni kampuni ya Japani ya vifaa vya michezo na bidhaa za riadha.
Makao makuu ya kampuni hii yanapatikana huko Nishi-ku, Hiroshima, Chūgoku. Ni maarufu katika utengenezaji na uuzaji wa vifaa vya michezo inayotumia mpira, mipira iliyotengenezwa na kampuni ya Mikasa kwa ajili ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu na mpira wa mikono hutumiwa mara nyingi katika mechi rasmi, michezo na mashindano.
Bidhaa
haririMipira inayotengenezwa na kampuni ya Mikasa kwa ajili ya mchezo wa mpira wa wavu ni mipira rasmi ya mashindano yote ya Fédération Internationale de Volleyball (Shirikisho la Kimataifa la mpira wa wavu), na ligi nyingi za ndani na nje ya Amerika ya Kaskazini.
Mipira inayotengenezwa na kampuni ya Mikasa kwa ajili ya mchezo wa mpira wa wavu ndio mipira rasmi inayotumika katika michezo ya Olimpiki.
Mikasa hutengeneza aina nyingi za mipira, pamoja na bidhaa kama vile za mpira wa kikapu, mpira wa wavu, mpira wa miguu na rugby.
Aina za mipira inayotengenezwa na kampuni ya Mikasa
hariri-
Mpira unaotumika katika mchezo wa mpira wa wavu wa ufukweni
-
Mikasa VLS300
-
Mpira unaotumika katika mchezo wa mpira wa kikapu
-
Mpira unaotumika katika mchezo wa mpira wa kikapu
-
Mpira unaotumika katika mchezo wa mpira wa wavu
-
Mpira unaotumika katika mchezo wa mpira wa wavu
-
Mpira unaotumika katika mchezo wa mpira wa wavu
Viungo vya nje
hariri- Mikasa Japan Ilihifadhiwa 2 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- Mikasa USA
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mikasa Sports kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |