Mike Cafarella (alizaliwa Poughkeepsie, New York huko Marekani [1]) ni mwanasayansi wa kompyuta aliyebobea katika mifumo ya usimamizi wa namna ya uhifadhidata. Yeye ni profesa  wa sayansi ya kompyuta katika Chuo Kikuu cha Michigan. Pamoja na Doug Cutting.[2] Cafarella alizaliwa katika Jiji la New York lakini alihamia Westwood, MA mapema katika utoto wake. Baada ya kumaliza shahada yake ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Brown.

Mike Cafarella
Mike Cafarella (2013)

Marejeo

hariri
  1. "Biographical Sketch: Michael J. Cafarella" (ilichapishwa mnamo 2009-09-14). 2009. Iliwekwa mnamo 2013-02-01.
  2. Cafarella, Mike; Cutting, Doug (Aprili 2004). "Building Nutch: Open Source Search". ACM Queue. 2 (2): 54–61. doi:10.1145/988392.988408. ISSN 1542-7730.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)