William Michael Campbell (12 Oktoba 19328 Aprili 2011) alikuwa mkulima mzungu kutoka wilaya ya chegutu nchini Zimbabwe. Campbell pamoja na mkwe wake Ben Freeth, alipata umaarufu wa kimataifa kwa kuushtaki utawala wa Robert Mugabe kwa kukiuka utawala wa sheria na haki za binadamu nchini Zimbabwe, katika kesi ya Mike Campbell (Pvt) Ltd na wengine dhidi ya jamhuri ya Zimbabwe. .[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Mike Campbell", London: Economist Group, 20 April 2011. Retrieved on 25 January 2012. 
  2. Mike Campbell Obituary – The Telegraph
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mike Campbell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.