Mikoa ya Uganda
Mikoa ya Uganda ni nne tu: Wa kati, Magharibi, Mashariki na Kaskazini. Kila mmoja umegawanyika katika wilaya. Hizo zilikuwa 56 mwaka 2002,[1] zikafikia kuwa 135 (mbali ya jiji la Kampala) mwaka 2019.[2]
Tanbihi
hariri- ↑ "2002 Uganda Population and Housing Census" (PDF). Uganda Bureau of Statistics. Iliwekwa mnamo 18 Juni 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Status of Local Governments". Ministry of Local Government. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Septemba 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: