Miles Groth alizaliwa mnamo mwaka 1946 ni Profesa wa Saikolojia katika Chuo cha Wagner na mwanaharakati wa haki za wanaume ambaye pia ameandika zaidi juu ya falsafa.

Historia

hariri

Groth amejielezea kama mtaalamu wa kisaikolojia,[1]. Ambapo anajulikana kwa maoni yake ya kuwa "sasa kuna jinsia ya pili na ni ya kupingana na wanaume." . Alisoma katika Chuo cha Franklin na Marshall, Chuo Kikuu cha Duquesne na Chuo Kikuu cha Fordham, zaidi alidumu katika kufufundisha saikolojia na falsafa katika Chuo cha St. Vincent ( Latrobe, Pennsylvania ) na Chuo cha Wagner ( Staten Island, New York ).[2]

Shughuli

hariri

Mnamo mwaka 2013 Miles Groth alitoa somo katika mkutano wa "Haki za Wanaume" katika Chuo Kikuu cha Toronto mkutano uliolenga kujali Wanaume wa Chuo Kikuu akitabanaisha Kwanini kunahitajika vituo vya Wanaume katika Kampasi Wakati wa Mgogoro.ambapo mkutano wa Wanaume na Wavulana katika Mgogoro" uliofanyika siku iliyofuata saa 11 asubuhi katika Queen's Park na wanaharakati wa haki za wanaume.[3]

Uandishi

hariri

Groth pia ni mwandishi wa sura kadhaa katika vitabu akijihusisha zaidi juu ya tiba ya kisaikolojia, nakala nyingi na hakiki za vitabu huelezea zaidi katika saikolojia na majarida ya falsafa. Yeye ndiye mwandishi wa andiko la (After Psychotherapy (2017; 2nd ed. 2018)) na Pericopes ambavyo viliwekwa kwa muundo wa mkusanyiko wa mashairi uliyochapishwa kwa faragha. Pia ametunga vitabu vitatu vya Martin Heidegger na wasifu unaohusiana wa Medard Boss . imani yake inaamini kuwa tafsiri zote nyingi za Kiingereza zilizopo za Heidegger hazitoshelezi na hazieleweki.[4]

Vitabu alivyoandika

hariri

Baadhi ya vitabu alivyoandika vinaitwa Preparatory Thinking in Heidegger's Teaching (1987), The Voice that Thinks: Heidegger Studies (1997; rev and expanded ed. 2016) Translating Heidegger (2004; 2nd ed. 2017), Medard Boss and the Promise of Therapy (2020). [5] Translating Heidegger (2004; 2nd ed. 2017),[6] and the related Medard Boss and the Promise of Therapy (2020).[7]


Marejeo

hariri
  1. https://www.beyng.com/interviews/MilesGrothInterview.html
  2. https://www.splcenter.org/hatewatch/2013/12/18/men%E2%80%99s-rights-activists-battle-%E2%80%98misandry%E2%80%99-college-campuses
  3. Espinas, Jerico. "Men’s rights activists call for creation of "Men’s Centre"", The Varsity, 30 September 2013. Retrieved on 7 November 2013. 
  4. https://www.beyng.com/interviews/MilesGrothInterview.html
  5. name="seeburger">Francis F Seeburger, review of The Voice that Thinks: Heidegger Studies (1997) in The Review of Metaphysics, Sept. 1999, vol. 53, no. 1, pp. 165-167.
  6. WorldCat Miles Groth publication list at WorldCat. Accessed 28 Sept. 2012.
  7. https://books.google.com/books/about/Medard_Boss_and_the_Promise_of_Therapy.html?id=Soo1ywEACAAJ