Milevum (kwa Kilatini "Milev" au "Mireon") ulikuwa mji wa Kiroma–Kiberber katika mkoa wa Numidia.

Dicoese-Afrique-256
Ramani ya Algeria.

Unajulikana kama mji wa Mila kwa sasa, upo mashariki mwa Algeria.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milevum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.