Milima ya Taita
Milima ya Taita (kwa Kiingereza: Taita Hills, pia Teita Hills) iko kusini mashariki mwa Kenya, katika kaunti ya Taita-Taveta.
Ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki ambayo ina miaka zaidi ya milioni 100[1] .
Milima ni hasa mitatu: Dabida, Sagalla na Kasigau. Mkubwa zaidi ni Dawida ambao unafikia metre 2 228 (ft 7 310) juu ya usawa wa bahari katika kilele cha Vuria. Vingine ni: Iyale, Wesu, and Susu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Briggs, Philip (2009). Northern Tanzania: The Bradt Safari Guide with Kilimanjaro and Zanzibar. Bradt Travel Guides. ku. 20–21. ISBN 978-1-84162-292-7.
Viungo vya nje
hariri3°25′S 38°20′E / 3.417°S 38.333°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Taita kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |