Tao la Mashariki

(Elekezwa kutoka Milima ya Tao la Mashariki)


Tao la Mashariki ni mfululizo wa milima na safu za milima unaopatikana nchini Tanzania na pia Kenya Kusini.

Ramani ya milima ya Tao la Mashariki.
Milima ya Usambara.

Ndiyo milima ya zamani zaidi katika Afrika Mashariki ikiwa na miaka walau milioni mia.

Ni kama ifuatavyo:[1]

Mazingira hayo ni ya pekee upande wa viumbehai[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Map. Eastern Arc Mountains Information Source. Jalada kutoka ya awali juu ya 20 July 2011.
  2. Briggs, Philip (2009). Northern Tanzania: The Bradt Safari Guide with Kilimanjaro and Zanzibar. Bradt Travel Guides. pp. 20–21. ISBN 978-1-84162-292-7. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tao la Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Coordinates: 6°00′00″S 36°00′00″E / 6.0000°S 36.0000°E / -6.0000; 36.0000