Milivoje Novaković

Milivoje Novaković (alizaliwa 18 Mei 1979) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Slovenia. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Slovenia.

Novaković ameichezea timu ya taifa ya Slovenia tangu mwaka wa 2006. Novaković alicheza Slovenia katika mechi 80, akifunga mabao 32.[1]

Takwimu hariri

[1]

Timu ya Taifa ya Slovenia
Mwaka Mechi Magoli
2006 8 4
2007 9 1
2008 9 6
2009 10 2
2010 11 5
2011 7 1
2012 0 0
2013 7 6
2014 6 3
2015 5 3
2016 7 0
2017 1 1
Jumla 80 32

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 Milivoje Novaković at National-Football-Teams.com
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milivoje Novaković kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.