Mille Gejl
Mille Gejl Jensen (alizaliwa 23 Septemba 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Udeni, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Crystal Palace F.C, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL), na timu ya taifa Udeni[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Crystal Palace sign Denmark international Mille Gejl - News". Crystal Palace F.C. (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2024-08-15. Iliwekwa mnamo 2024-09-20.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mille Gejl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |