Milly Nassolo

Mjasiriamali jamii, mwanaharakati na mwanasheria wa Uganda

Milly Nassolo Kikomeko ni mjasiriamali jamii, mwanaharakati na mwanasheria wa Uganda. Ni mwanzilishi wa Maisha Holistic Africa Foundation, shirika lisilo la faida lenye makao yake katika Wilaya ya Kagadi.[1] [2] [3] [4]

Maisha ya awali na elimu

hariri

Nassolo alizaliwa katika Kijiji cha Kikumbo, Kitongoji cha Kibibi, Wilaya ya Butambala. Alisoma Shule ya Msingi Gombe kwa elimu yake ya msingi, ikifuatiwa na Shule ya Sekondari Mpigi Mchanganyiko kwa ngazi sekondari (O-level), na kuendelea na masomo yake ya juu (A-level) katika Shule ya Sekondari ya Mpigi. Alipata Shahada ya Sheria kutoka Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala.[5]

Tangu 2014, Nassolo amekuwa akihudumu kama msaidizi wa kisheria huko Lubega, katika kampuni ya Ssaka and Co. Advocates alipokuwa bado mwanafunzi wa shahada ya kwanza. [6] [7] [8] Mnamo 2014, alianzisha Maisha Holistic Africa Foundation, [9] [10] shirika lisilo la faida lenye makao yake katika Wilaya ya Kagadi [11] [12] [13] hata hivyo shirika hilo lilizinduliwa mwaka 2019. [14] [15]

Maisha binafsi

hariri

Nassolo alifunga ndoa na Robert Kikomeko Tumusabe mnamo 2016 katika kanisa la Kamwokya Church of God. Kwa pamoja, wana watoto wawili, Tyler Kaeb K. Tumusabe na Travis Silver K. Tumusabe. [16] [17] [18]

Marejeo

hariri
  1. Editorial, PML DAILY EDITOR | PML Daily (Oktoba 26, 2023). "MILLY NASSOLO: Passion for Empowering Women".{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  2. Asingwire, Mzee (Mei 17, 2023). "Milly Nassolo's legal career: Balancing law practice and activism for social change". Pulse Uganda.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Milly Nassolo Unveils Maisha Holistic Africa Foundation in Kagadi District | the Kampala Post".
  4. "Working for women makes Nassolo happy". Monitor. Machi 28, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Working for women makes Nassolo happy". Monitor. Machi 28, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Working for women makes Nassolo happy". Monitor. Machi 28, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Activist Milly Kikomeko Launches "Get Talking with Milly" Tweet Chat Initiative – TowerPostNews". thetowerpost.com. Oktoba 26, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. Wampula, Arajab (Oktoba 25, 2023). "Here Are All The Amazing Things Milly Nassolo Is Doing To Advocate For The Girl Child* | DaParrot | Building Communities, Outlining Possibilities".{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Nassolo supports disadvantaged people". Bukedde.
  10. Asingwire, Mzee (Mei 17, 2023). "Milly Nassolo's legal career: Balancing law practice and activism for social change". Pulse Uganda.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. Adeya, John Kenny (Oktoba 19, 2023). "Milly Nassolo Fostering Children's and Women's Rights in Uganda". Kampala Edge Times.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. Mugisha, Mugibson (Mei 18, 2023). "Meet Milly Nassolo: A Champion For A Brighter Future For Children & Women In Uganda - MUGIBSON". mugibson.com.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  13. Mugisha, Mugibson (Februari 1, 2023). "Activist Milly Nassolo Extends Helping Hand Through Health Camp In Kagadi District - MUGIBSON". mugibson.com.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  14. "Through Maisha Holistic Africa Foundation, Social Entrepreneur Milly Nassolo Seeks to Help Those in Need - MUGIBSON". 17 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  15. "Social Entrepreneur Milly Nassolo Launches Maisha Holistic Africa Foundation". 17 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  16. Asingwire, Mzee (Mei 17, 2023). "Milly Nassolo's legal career: Balancing law practice and activism for social change". Pulse Uganda.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  17. Lisimba, Hillary (Desemba 21, 2021). "I lied to him about everything the first time we met, Ugandan wife discloses". Tuko.co.ke - Kenya news.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  18. "Social Entrepreneur Milly Nassolo Launches Maisha Holistic Africa Foundation". 17 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milly Nassolo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.