Milwaukee, Wisconsin

(Elekezwa kutoka Milwaukee)

Milwaukee ni mji mkubwa wa Wisconsin ya kusini. Ni mji wa ishirini na tatu kwa ukubwa katika Marekani. Iko kando ya Ziwa Michigan.

Milwaukee

Bendera
Milwaukee is located in Marekani
Milwaukee
Milwaukee
Mahali pa Milwaukee katika Marekani
Majiranukta: 43°03′08″N 87°57′21″W / 43.05222°N 87.95583°W / 43.05222; -87.95583
Nchi Marekani
Jimbo Wisconsin
Wilaya Milwaukee
Waukesha
Idadi ya wakazi
 - 602,191
Tovuti: www.city.milwaukee.gov
Milwaukee na Ziwa Michigan
Milwaukee, Wisconsin

Mji una wakazi 602,191 (pamoja na mitaa ya nje: 1,739,497) kwenye eneo la 251 km².

Jina la Milwaukee latoka katika lugha ya Kialgonkian likimaanisha bara sheshe. Mji uliundwa mwaka 1818. Mji upo m 188 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milwaukee, Wisconsin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.